KATIBU MKUU KIONGOZI BAROZI JOHN KIJAZI AFARIKI DUNIA

Rais Magufuli ametangaza kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi kilichotokea jana February 17,2021, Kijazi amefariki saa 3:10 usiku akiwa Hospitali ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma alikokuwa akipatiwa matibabu.

R.I.P KIJAZI 🙏
#BinagoUPDATES

No comments