MBUNGE WA ZAMANI WA MOROGORO KUSINI MASHARIKI SEMINDU PAWA AFARIKI DUNIA

ALIYEKUWA MBUNGE MOROGORO AFARIKI DUNIA

#HABARI: Mbunge wa zamani wa Morogoro Kusini Mashariki, Semindu Pawa amefariki dunia jana Februari 17 baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Pawa amewahi kushika nafasi mbalimbali ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mpaka anakutwa na mauti alikuwa mjumbe wa Baraza la Wazee la chama hicho.
#BinagoUPDATES

No comments