BASTOLA YA NAPE YAKAMATWA NA POLISI

Bastola ya Nape Yakamatwa na Polisi 

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na jeshi la polisi mkoa wa Mbeya, limefanikisha kuipata bastola ya mbunge wa jimbo la Mtama Nape Nnauye.

Kamanda Mambosasa amesema Polisi wamefanikisha kupatikana kwa Bastola ya Mbunge huyo iliyoibiwa Feb 15,2021 nyumbani kwake Kawe Beach kupitia dirishani akiwa amelala, Bastola hiyo imekamatwa mkoani Mbeya, Mtuhumiwa mmoja anashikiliwa kwa wizi huo.
#BinagoUPDATES

No comments