EDWARD LOWASSA; MAALIM SEIF ALIKUWA MTU MUHIMU SANA KWANGU

“Nimepokea kwa mstuko mkubwa taarifa ya kifo cha Maalim Seif, Maalim alikuwa kaka yangu kisiasa na hata kiumri, tumefanya kazi wote CCM Makao Makuu na alitufundisha wengi ujasiri, uvumilivu,unyenyekevu na kutoyumba kisiasa kwa kile unachokiamini kwa faida ya nchi” Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa
#BinagoUPDATES

No comments