SIMBA: BADO NNE TUU KWA YANGA

SIMBA:-“BADO NNE TU KWA YANGA “

#MICHEZO: Simba Sc imefikisha pointi 42 katika msimamo wa Ligi Kuu Bara, baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Biashara Mara, mchezo uliopigwa Uwanja wa Karume mkoani Mara hii leo.

Bao pekee la Simba limefungwa na Bernard Morrison kunako dakika ya 22 ya mchezo huo.

Yanga inaendelea kuongoza ligi ikiwa na pointi 46 ni tofauti ya pointi nne dhidi ya Simba yenye michezo miwili mkononi.
#BinagoUPDATES

No comments