WACHEZAJI WANNE WA KLABU YA PALMAS WAFARIKI DUNIA WAKIWA KWENYE NDEGE
Wachezaji wanne wa klabu ya Palmas wa Brazil pamoja na Rais wa timu hiyo wamefariki dunia kwa ajali ya ndege leo, na rubani wa ndege hiyo pia amefariki.
Ajali hiyo imetokea wakati wachezaji hao wa timu hiyo ya Serie D wakielekea katika mechi ya michuano ya Copa Verde dhidi ya timu ya Vila Nova huko Goiania nchini Brazil
Watu sita waliofariki katika ajali hiyo
Kipa - Ranule (Miaka 27)
Beki - Lucas Praxedes (Miaka 23)
Beki - Guilherme Noe (Miaka 28)
Kiungo - Marcus Molinari (Miaka 23)
Rais wa Klabu - Lucas Meira (Miaka 32)
Na Rubani ambaye jina lake analofahamika ni Wagner.
#BinagoUPDATES
Post a Comment