FRANK LAMPARD AFUTWA KAZI
Chelsea wamemfuta kazi Frank Lampard. Uamuzi huo umefanywa baada ya bodi 'kukasirika' na 'kukatishwa tamaa' katika matokeo ya wiki zilizopita. ❌
Kocha wa Zamani wa Dortmund na PSG, Thomas Tuchel sasa yuko karibu kutangazwa kuwa meneja mpya wa Chelsea.
SOURCE - FABRIZIO ROMANO.
#BinagoUPDATES
Post a Comment