UONGOZI WA YANGA WASEMA SARPONG BADO NI MALI YA YANGA SC

Uongozi wa Yanga umesema, bado haujaachana na mshambuliaji wao, Michael Sarpong ambaye kwa sasa ameelekea nchini China kwa ajili ya majaribio "kwa sasa mchezaji huyo bado ni mali ya Yanga, ameenda China kwa majaribio tu" Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela.
#BinagoUPDATES

No comments