MUSEVENI ASEMA MSAHAU KUHUSU VURUGU HAMTOFANIKIWA

Nasisitiza tena kuwaambia Waganda, msahau kuhusu vurugu hamtofanikiwa, mnapoteza muda na mtajisababishia maradhi ya Presha tu, kwanini nichukie?, nafanya ninachoweza kisha namwachia mengine Mungu. - Museveni

Kuhusu wanaosema kuwe na maridhiano Uganda, hivi ndivyo tunavyofanya kila siku, ndio maana Mtoto wa Idi Amin (Taban Amin) ni Naibu Mkuu wa Intelejensia, Mjukuu wake ni Mwanachama wa Chama changu, Mtoto wa Tito Okello (Okello Oryem) ni Waziri wangu. - Museveni

“Sisi hatuna shida na Mtu, tusichopenda ni vurugu, kama ni kujadiliana kwa amani tunaweza tu kushindana kwa hoja. 

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni.
#BinagoUPDATES

No comments