KAZUYOSHI MIURA NA MIAKA 53 KWENYE SOKA
JEWAJUA?
Kuna watu wabishi duniani 😃!
Kazuyoshi Miura amesaini mkataba mpya wa kuendelea kukipiga ndani ya klabu ya Yokohama FC ya Ligi kuu nchini Japan akiwa na miaka 53
Miura anaingia msimu wake wa 36 wa soka la kulipwa. Mwezi Februari anatimiza umri wa miaka 54.
Unahisi atakuwa anakula nini huyu jamaa? 😃
#BinagoUPDATES
Post a Comment