HAYA NDIYO MAAMUZI YA FCC DHIDI YA SIMBA SC
Tume ya Ushindani wa kibiashara FCC imetoa maamuzi yake dhidi ya Simba juu ya mchakato wa Muungano wa Makampuni ..
MAAMUZI YA FCC ... !
1. SIMBA KULIPA 326,510,251 KWA
KUFANYA MERGER BILA KUITAARIFU FCC
2. KUZUIWA KUFANYA LOLOTE SIKU ZA USONI KINACHOKINZANA NA MUONGOZO WA FCC
3. KUTOA TANGAZO KTK MAGAZETI 2 KUHUSU MAAMUZI YA FCC
4. SIKU 7 ZA KUJIBU/KUKUBALI MATOKEO HAYA YA FCC
5. MDAAWA MOHAMMED DEWJI KULIPA 19.6B NA TAARIFA ZA MALIPO KUPELEKWA FCC KWA UFUATILIAJI
6. MOU ILIYOINGIWA 10.01.2018 KATI YA SSC, WADHAMINI NA MO DEWJI IWE TERMINATED KUTOKA SIKU YA KUKUBALIWA KWA FINDINGS HIZI
7. KATIBA YA SSC YA 2018 IFUTWE KWA KUWA INAENDA KINYUME NA KANUNI ZA BARAZA LA MICHEZO LA TAIFA
8. MEMART YA SSC CO LTD KUFUTWA NA KUONDOLEWA KTK KATIBA TA SSC KWA KUWA INAKIUKA KANUNI ZA BMT
9. MAOMBI YA SIMBA HOLDING CO NA MO SIMBA CO KUTAKA KUUNGANA YAMEFUTWA (CEASED) KWA KUZINGATIA UMUHIMU WA JAMBO HILO
10. FCC HAITOENDELEA NA KUSIKILIZA/KUFANYIA KAZI OMBI HILO LA KUUNGANA LILILOSIMAMISHWA (STAYED)
11. FCC INATOA AMRI KUWA OMBI HILO LIMEFUNGWA RASMI
Hayo ndo maamuzi Sasa swala la matumizi ya Trademark litaelezewa zaidi kisheria.
#BinagoUPDATES
Post a Comment