FAHAMU, HIVI NDIVYO VILABU 10 BORA BARANI AFRIKA

VILABU 10 BORA AFRIKA "AL AHLY VINARA" 🦁 !?
 
Kwa mujibu wa IFFHS klabu ya Al Ahly🇪🇬 ndio klabu bora namba 1 Afrika na ya 31 kidunia kwa mwaka 2020.

Orodha ya Timu 10 bora Afrika mwaka 2020 Kutoka IFFHS
 
1.Al Ahly (31 kidunia)
2.Zamalek(54 kidunia)
3.Esperance ST (97 kidunia)
4.Pyramids FC (103 kidunia)
5.RSB Berkane (125 kidunia)
6.Mamelodi Sundowns (126 kidunia )
7.Raja Casablanca (128 kidunia)
8.Wydad Casablanca (158 kidunia)
9.Tp Mazembe (179 Kidunia)
10.Etoile du Sahel (190 kidunia)
 
Hizi ndizo Rankings za Vilabu Bora Barani AFRIKA
#BinagoUPDATES

1 comment: