ANAANDIKA HAJI MANARA ✍
Anaandika Haji Manara Msemaji wa Simba ... ✍
"Kupanga ni kuchagua ...
Ktk zama hz za dunia ya kisasa yenye kalenda hadi kwenye simu, bado kuna wenzetu wanafanya hii biashara 🤪
Aliyeanzisha msemo wa "Kua Uyaone" Pepo inamhusu.
Haji Manara, msemaji mkuu wa timu ya Simba SC.
#BinagoUPDATES
Post a Comment