LADY JAY DEE ASEMA VITU VYA AJABU VINATREND SANA KULIKO VITU VYA MAANA

LADYJAYDEE; "VYA KIPUUZI VINATREND"

"Vitu vya kipuuzi vinatrend kuliko vya maana, mfano ukisema unakwenda kutoa msaada kwa watoto yatima hupati comments lakini ukimpost Bwana mpya au ukimtambulisha  watakuja watu wotee"

"Mashabiki wangu wanapenda vitu vya adabu sio wale wanaopenda nyimbo za matusi na hao wasanii unaosema wanaimba nyimbo za matusi inawezekana (market) soko lao wanataka nyimbo hizo" @jidejaydee
#BinagoUPDATES

No comments