FARID MUSSA ASEMA "TUTATOBOA TUU"

FARID NA MZUKA WA CHAN "TUTABOA TU"

Akiwa Cameroon Farid Mussa ameonyesha kuwa na malengo makubwa kupitia michuano hii ya CHAN 2020.
 
"Najisikia furaha kuwa sehemu ya alama tatu ambazo tumezipata. Kwangu hii ni fursa kuonyesha kipaji changu natambua mawakala mbalimbali wakubwa wanafuatilia mashindano haya."

Farid amesema shauku yake ni kuona wanavuka hatua ya makundi na kuonyesha Afrika kuwa Tanzania ni taifa la mpira, "Naamini tuna nafasi ya kusonga mbele.
 
Farid Mussa aliibuka mchezaji bora wa Mechi dhidi ya Namibia akiifungia Stars goli la ushindi.
#BinagoUPDATES

No comments