Mshambuliaji raia wa Nigeria, Junior Lokosa asaini Simba.. Ni nyota wa zamani wa Esperance ya Tunisia..
.
MASTRAIKA WALIOPO SIMBA SASA
1. John Bocco
2. Chris Mugalu
3. Meddie Kagere
4. Junior Lakosa.
SAA ... ITAKUAJE ?!
#NguvuMoja1
#NextLeveL
#BinagoUPDATES
Post a Comment