BARBARA AMKANA MWINYI ZAHERA

BARBARA AMKANA ZAHERA "SIMFAHAMU"

CEO wa klabu ya Simba,BARBARA GONZALEZ amesema habari za mwinyi Zahera kusajiliwa Simba SC kama mkurugenzi wa Ufundi Sio kweli hata kidogo. 

Amesisitiza ata hamfahamu huyo Mwinyi Zahera, anamsikia tu. 

Amesema wapo watu 3 wapya benchi la Ufundi ambao ni KOCHA MKUU(Gomes), KOCHA WA MAKIPA (Milton) na mwingine watakaemtangaza leo.
#BinagoUPDATES

No comments