Vyama 6 vya siasa vyenye sifa ya kupata ruzuku vimeanza kuneemeka baada ya kuingiziwa mgawo wa fedha na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
CCM sh. Bilioni 1.33
ChademaTz sh. milioni 109.68
ACTwazalendo sh. milioni 14
CUF sh. milioni 5.7
NCCR-Mageuzi sh. 316,937
DP sh. 63,387
#BinagoUPDATES
Post a Comment