CRISTIANO RONALDO AWEKA REKODI
- Amekua mfungaji bora wa muda wote akiwa na magoli 760 ⚽️
- Alichukua tuzo ya Mchezaji bora wa mechi ya Supercoppa Italiana 🥇
- Ameshinda taji lake la 4 ndani ya Italia ambalo ni Super cup Italy 🏆
#BinagoUPDATES
Post a Comment