MBWANA SAMATTA AINGIA NYAVUNI MARA MBILI

#TurkishSuperLig

Captain samagoal77 tangu arudi dimbani kawa wa moto kwani katika mechi mbili zilizopita zote katupia kambani. Leo saa 1:00 usiku yupo dimbani tena pale Fenerbahce  watakapokuwa ugenini kuzisaka alama 3 mbele ya Sivasspor.

Fenerbahce wanataka alama 3 ili wapande kileleni mwa msimamo. Je, Sivasspor watakubali kuachia alama 3?
#BinagoUPDATES

No comments