KOCHA WA ZAMANI WA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND SVEN-GORAN ERIKSSON NAE AITAKA SIMBA SC

BALAA ZITO, HUYU NAE KAOMBA UKOCHA MSIMBAZI
 
Inasemekana Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya England, Sven-Göran Eriksson ni kati ya makocha waliotuma maombii ya kazi ya ukocha ndani ya Simba SC. 
 
CV YA ERIKSSON
 
Eriksson ana CV ya kibabe akiwa amefundisha miamba ya  kama 
- Man City
- AS Roma
- Lazio
- Benfika
- Leicester City na
- Timu ya kitaifa ya Ivory Coast.
 
Eriksson kwa sasa hana kazi akiwa ameacha kazi yake ya ukocha katika timu ya kitaifa ya Ufilipino.
#BinagoUPDATES

No comments