salamu za Papa Francis kwa Familia ya Mkapa
Papa Francis atoa salamu zake kwa familia ya Buriani Mkapa,Mama Mkapa pamoja na watoto
Salamu hizo zimesomwa na Rais wa maaskofu Tanzania Mh Askofu Nyaisonga kakika Ibada ya mwisho ya kumuaga Buriani Mkapa kijijini Lupaso
"Alikua kingozi mzuri sana,aliejari wahitaji na kuchangia sana kanisa lake la ROMAN Catholic ili kazi ya Bwana isonge mbele,nampendekezea mahali pazuri Mkapa" Papa Francis ujumbe kutoka Vatican
Post a Comment