Wigwe afariki kwa Ajari ya Ndege


 Bilionea wa Nigeria Herbert Wigwe, bosi wa Access Bank, amefariki katika ajali ya ndege.


Helikopta iliyokuwa imembeba Herbert Wigwe na jamaa zake watano, akiwemo mkewe na mwanawe, ilianguka Ijumaa jioni kwenye mpaka kati ya Nevada na California.



Gazeti la New York Times linaripoti kuwa jumla ya watu sita waliokuwa kwenye helikopta iliyoanguka hakuna aliyenusurika.


Hadi kufikia sasa hakijajulikana chanzo ha ajali hiyo.



No comments