Nsue ametangaza kustaafu soka la Kitaifa
🚨OFFICIAL : Baada ya Timu ya Taifa ya Equatorial Guinea kumsimamisha Kwa Muda Usiojulikana Emiliano Nsue sasa Nsue ametangaza kustaafu soka lake la Kimataifa akiwa na umri wa miaka 34.
🏟 Michezo - 32
⚽️ Mabao - 20
🤝 Mfungaji bora wa AFCON23
Emilio Nsue alisimamishwa kwa kusema ukweli kuwa Viongozi wa Timu ya Taifa ni mafisadi sana wamechukua Pesa nyingi za Timu ya taifa kisha wakaiacha bila pesa wala wachezaji kukipwa vizuri
Kwani alipaswa kukaa kimya au alifanya cha maana? Toa maoni yako 🔥 ⚽️
Post a Comment