Yanga yaweka πππ πππΎπππΏ NBCPL
... π¨ πππ πππΎπππΏ
Yanga imekuwa timu ya kwanza Tanzania bara kushinda mechi (7) kwa mabao (5) kila mechi katika msimu mmoja (1).
◉ Yanga 5 - 0 KMC
◉ Yanga 5 - 0 JKT Tanzania
◉ Yanga 5 - 1 ASAS π©π―
◉ Yanga 5 - 1 Simba SC
◉ Yanga 5 - 0 Jamhuri
◉ Yanga 5 - 1 Hausing Fc
◉ Yanga 5 - 0 Polisi Tanzania
Full — Yanga 5 - 0 Polisi Tanzania
⚽ Guede π― Okrah — 13'
⚽ Guede π― Okrah — 45'
⚽ Farid Mussa π― Mkude — 33'
⚽ Clement Mzize π― Kibwana — 82'
⚽ Shekhan (Pen) — 87'
π Guede alihitaji kufunga goli ili kuirudisha confidence yake iliyopotea, kafunga.... Gari limewaka au bado ?
Muda ni hakimu.
"Yanga wamekutana na timu dhaifu ndio maana Guede na Austine Okrah wameonyesha kiwango bora lakini kama wangekutana na timu bora wasingekuwa kwenye kiwango kama hiki ambacho tumekiona" - Alex Ngeleza, Mchambuzi.
Toa maoni yako
Post a Comment