Mayele aomba kuondoka Pyramids


 Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Fiston Mayele amewasilisha barua kwenye Menejiment ya klabu ya Pyramids kwaajili ya kuhitaji kusitishiwa mkataba wake.


- Vyombo mbalimbali vya Habari kutoka Misri vimeripoti kuwa Fiston Mayele hana furaha kuitumikia zaidi Pyramids na ameshafanya mazungumzo na Menejiment yake ili kupata changamoto nyingine akiondoa Pyramids.



- Taarifa za kuaminika ni kuwa Fiston Mayele anautaka usimamizi wa klabu ya Pyramids ya nchini Misri kuweza kusitisha mkataba wake, Fiston Mayele needs the pyramids management to terminate his contract and leave the club.


Je unadhani shida ipo wapi? Toa maoni yako..

No comments