AYOUB LAKRED KUTUA RAJA ATHLETIC CLUB


 - Klabu ya Raja Athletic Club inavutiwa na huduma ya mlinda mlango wa klabu ya Simba, Ayoub Lakred ambaye amekuwa na wakati mzuri sana ndani ya Wekundu wa Msimbazi.



- Raja AC inajiandaa kutuma ofa rasmi kwa Simba kumpata Lakred huku wakisubiri kukamilisha dili la golikipa wao, Zeniti ambaye anataka kuondoka Raja AC kwakuwa amepokea ofa nje ya mipaka ya nchi ya Morocco.


- Kwa mujibu wa Raja Athletic Club inaamini Ayoub Lakred ni chaguo sahihi katika timu yao baada ya kuondoka golikipa wao Anas Zeniti hivi karibuni.

No comments