Ukweli mtupu: Yanga Kajifunza kwa Simba
TUJADILI KIDOGO, ukitazama kwa umakini mzuri sana ni wazi Yanga hatua anazopiga kimataifa na baadhi ya mambo kadhaa anayotandika ni kuwa alijifunza sana kutoka klabu ya Simba! Investment ndio kitu muhimu zaidi ambacho klabu ya Yanga ilikitazama kutoka kwa Wekundu wa Msimbazi.
Point yangu ni nini? Point ni kuwa unapo wekeza haimaanishi hapo hapo upate matokeo, inahitaji muda sana na ni mchakato ambao unachua wakati hata miaka mitatu hadi minne taratibu vitu vinaclick na mambo yanaenda vizuri! Ndio kitu kilichokuwa kinawasumbua sana klabu ya Yanga.
Maana yake ni nini? Maana yake ni kuwa Yanga walikuwa wana sumbuka miwili hadi mitatu nyuma walikuwa wanafanya uwekezaji mdogo halafu au kufanya vitu vidogo wanategemea mapato au matokeo makubwa! Huu mchakato ni wazi ulikuwa changamoto sana pale Jangwani.
Hiki ni kitu ambacho nafikiri kwa Yanga inabidi wakikubali, kutoka kwa Simba ni Investment! Na kuruhusu muda uchukue nafasi yake! Thats football its easy!
Being the student for this beautiful game called FOOTBALL.
Post a Comment