𝗭𝗔𝗞𝗔 𝗔𝗠𝗞𝗢𝗦𝗢𝗔 𝗖𝗘𝗢
Afisa habari wa klabu ya Azam FC :
"Enyi mashabiki wa Azam FC klabu yenu inayo channel ya WhatsApp ambayo iko hewani tangu October 18. Ni jukumu lenu kujiunga nayo"
"NB : Nilipokuwa kule mmiliki wa META alisema channel yetu ni nzuri kuliko ya Mamelodi Sundowns 🇿🇦"
©️ Zakaria Thabith 'Zakazakazi'
.
.
Zaka ameandika hivyo baada ya CEO wa klabu ya Simba kusema Simba ndio klabu ya kwanza Afrika mashariki kufungua account ya WhatsApp Channel.
"Leo tunazindua Simba Sports Club WhatsApp channel. WhatsApp wenyewe walitufata kutuomba kujiunga kuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kuwa na chaneli hii ya WhatsApp"
"Ni timu chache kama Kaizer Chiefs, Al Ahly, Barcelona, Real Madrid na Simba tumejiunga. Katika kuijaribu kabla ya kuzindua ndani ya wiki tumepata wafuasi laki moja. Faida kubwa ni mashabiki kupata taarifa na wadhamini wetu kuonyesha bidhaa zao."
"Hili ni lingine la kwanza kwa Simba kuwa karibu kwa Wenye Nchi. Simba inataka kuja kuwa timu namba moja Afrika na katika hili moja ya sehemu ya kuboresha ni namna ya kutoa habari."
©️ Imani Kajula
CEO wa klabu ya Simba SC
Post a Comment