RONALDO AWEKA REKODI NYINGINE
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Ureno na Klabu ya Alnassri Cristiano Ronaldo mwenye umri wa miaka 38.Amekuwa ni mchezaji mwenyewe magoli mengi mpaka sasa kwa mwaka wa 2023
Hii inakuja kutokana na upambanaji wake akiwa mchezoni na chachu ya kuzidi kuweka rekodi mbalimbali kwenye ulimwengu wa soka
Wengine wanao mfata Ronaldo ni Erling Haaland-39,Barnabás Varga-39,Kylian Mbappé-35 na Harry Kane-33
Post a Comment