MH.FA ARIDHISHWA NA MATENGENEZO KWA MKAPA


 

Mh.Hamis Mwinjuma Mwana FA naibu waziri wa  Utamaduni,Sanaa na Michezo tarehe 16,Oktoba,2023 ametembelea Uwanja wa Benjamin Mkapa na kuridhishwa na ukarabati na matengenezo ya uwanja huo


Mwana FA amewaalika Watanzania wote waweza kushuhudia ufunguzi wa African Football League(AFL) kati ya Simba na Al-Ahly utakao chezwa Tarehe 20,Oktoba,2023

No comments