"Ferguson hakuongea na mimi njia nzima." 😂
🚨🇵🇹| Nani:
"Siku moja, Alex Ferguson alituuliza kama mmoja wapo angeweza kumpeleka nyumbani baada ya mchezo wa mwisho wa wiki dhidi ya Fulham. Nikasema: 'OK boss, Nitakupeleka mimi nyumbani, haina shaka!'.
Baadae kwenye mchezo, tukiwa mbele kwa 2-1, tukapata mkwaju wa penati na nikamuomba Giggs aniruhusu nikaipige. Akanikubalia, lakini nikakosa ile penati na Fulham FC Official wakasawazisha kufanya iwe 2-2 ilikuwa dakika ya 88...
Baada ya mchezo, kama ilivyokuwa imepangwa, Nikamchukua Sir Alex kwenda nyumbani lakini hakuongea na mimi njia nzima." 😂
Post a Comment