Akpan Kutemwa na Simba
Klabu ya Simba SC inafanya mpango wa kumrejesha kiungo Victor Akpan 🇳🇬 kwa mkopo katika klabu ya Coastal Union baada ya kocha Zoran Maki kutoridhishwa na kiwango chake.
Kocha wa Simba SC, Zoran Maki pia hajaridhishwa na kiwango cha Nassoro Kapama.
Victor Akpan alinunuliwa kwa Tsh 100 Milioni kutoka katika klabu ya Coastal Union.
Post a Comment