Liverpool na Manchester United wanaweka Rekodi MPYA

🦓 Kwa mara ya kwanza kwenye historia, Manchester Utd wameruhusu magoli (9) dhidi ya timu moja kwenye msimu mmoja wa ligi kuu ya England tangu ilipoitwa (Epl) 🙄

Full 🕡 Liverpool 4 - 0 Manchester Utd
22' & 85' 🕡 Mohamed Salah ⚽⚽
68' 🕡 Sadio Mane ⚽
05' 🕡 Luis Diaz ⚽ 
.
.
Trio mpya ya Liverpool 🔥
⚽⚽🎯 = Mohamed Salah
⚽🎯 = Sadio Mane
⚽🎯 = Luis Diaz
.
.
Thiago Alcantara amepiga pasi (60) katika kipindi cha kwanza pekee !! akapoteza pasi (1) tu, pasi (59) zimefika !🔥 😮

"Liverpool wanapigania ubingwa, sisi hatuna chochote cha kupigania, hiyo ndiyo tofauti"
🔍 Bruno Fernandes

NB ; Liverpool wanaongoza ligi 🔝

No comments