Erik Ten Hag amefikia makubaliano ya kusaini mkataba wa miaka (4) kuinoa klabu ya Manchester Utd
Official ; Kocha Erik Ten Hag amefikia makubaliano ya kusaini mkataba wa miaka (4) kuinoa klabu ya Manchester Utd akitokea klabu ya fc Ajax nchini Netherlands 🇳🇱
.
Ten aliwahi kuwa msaidizi wa kocha Pep Guardiola katika klabu ya Bayern Munich.
.
Akiwa Fc Ajax ameisaidia klabu hiyo kutwaa makombe mawili (2) ya ligi kuu + makombe mengine ya ndani na kuiwezesha Ajax kufika hatua ya nusu fainali champions league.
Ataanza kazi rasmi msimu ujao katika klabu hiyo yenye mashabiki wengi Duniani. #binagoupdates
Post a Comment