Breaking news: Mamlaka za South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ zimekataa Bernard Morrison kuingia nchini humo.

Breaking news: Mamlaka za South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ zimekataa ombi la klabu ya Simba kuhusu kumruhusu winga wao Bernard Morrison kuingia nchini humo katika mechi ya marudiano Shirikisho (CAF) dhidi ya klabu ya Orlando Pirates πŸ‡ΏπŸ‡¦
.
Mamlaka hizo zimedai Bernard Morrison haruhusiwi kuingia nchini South Africa kutokana na kutuhumiwa kuhusika kwenye uhalifu.... Kwa mujibu wa katiba ya South Africa mtu yeyote kutoka nje ya nchi hiyo akihusishwa kwenye uhalifu wowote haruhusiwi kuingia tena nchini humo.
.
Klabu ya Simba imethibitisha rasmi kuwa itamkosa BM3 πŸ‡¬πŸ‡­ kwenye Mchezo wa marudiano (2nd leg) dhidi ya Orlando Pirates kwa sababu maombi yao kwa mamlaka za South Africa yamegonga mwamba. 

No comments