Yule Mganga wa Kienyeji kutoka nchini Senegal ametoa utabiri wake kwenye michezo ya mtoano (Play off) kwa ajili ya kufuzu kombe la Dunia Qatar 2022
Yule Mganga wa Kienyeji kutoka nchini Senegal aitwae Kahone aliyejipatia umaarufu kwenye michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2021, ametoa utabiri wake kwenye michezo ya mtoano (Play off) kwa ajili ya kufuzu kombe la Dunia Qatar 2022.
- DR Congo 1-2 Morroco
- Cameroon 1-0 Algeria
- Mali 2-0 Tunisia
- Misri 0-1 Senegal
- Ghana 3-2 Nigeria
Ikumbukwe kuwa Mganga huyo utabiri wake kwa Timu yake ya Taifa ya Senegal kushinda kombe la AFCON 2021 ndio uliompa umaarufu zaidi.
Toa maoni yako,. .. Mechi itakuwa live na BURE kupitia App yetu ya BINAGO TV.
Post a Comment