Liverpool na Manchester City tofauti ya pointi 1 tu

Chukua hii; Kuna tofauti ya pointi moja tu kwenye jumla ya pointi zote kati ya Liverpool na Manchester City tangu msimu wa 2018/19 mpaka sasa.

Zaidi ni kwamba hata msimu huu pekee, Liverpool na Manchester City wameachana Pointi 1 tu tena, zikiwa zimesalia mechi 9 tu.

Nani atashinda Kombe la Premier League 2021/22? 🤔 Toa maoni.

No comments