Barca bado wamo.... Barcelona wameingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania saini ya Kylian Mbappé.Barca wanaamini kuwa wanaweza kushindania saini yake kutokana na dili la udhamini wao mpya wa hivi karibuni kutoka Spotify.Source : L'EQUIPE
Post a Comment