Winga wa Leicester City Lookman amekamilisha uhamisho wake wa uraia kutoka Uingereza kwenda Nigeria 🇳🇬
Rasmi: Winga wa klabu ya soka ya Leicester City Ademola Lookman (24) amekamilisha uhamisho wake wa uraia kutoka Uingereza kwenda Nigeria 🇳🇬 na tayari imeidhinishwa na FIFA. 💯
Lookman atakuwepo kwenye mechi za mchujo za kufuzu Kombe la Dunia mwezi ujao dhidi ya Blackstars ya Ghana 🇬🇭.
Hapo awali alichezea England U19, U20 & U21 ..
(Via NUHU Adams)
Post a Comment