MFAHAMU NDEGE AINA YA AFRICA JACANA KWA UNDANI ZAIDI
Africa Jacana ni Ndege ambaye anapatikana kwenye mazingira ya majimaji kama kwenye maziwa ni rahisi sana kumpata Au kumuona ukiwa Katika Lake Manyara National Park.
Tabia ambayo watalii au wageni wanavutiwa nayo ni ile ambayo Jacana akipata Dume na akifanikiwa kutaga mayai tu anamkimbia uyo Dume na mayai anaenda tafuta Dume mwengine na kuanza Maisha upya kwaiyo Ndege Dume ndio ulalia mayai na Kukuza/Kulea kinda/Watoto.
Ivyo watu uwa wanapenda kumwita Ndege Malaya.
(Via: Ministry of Natural Resources and Tourism)📷
Post a Comment