FISTON ABDUL RAZAK ATUA RS BERKANE MKOPO AKITOKEA OLYMPIQUE KHOURIBJA, AMEWAHI KUKIPIGA YANGA SC PIA
Winga Wa Zamani Wa Klabu ya Yanga SC M-Burundi Fiston Abdul Razak (28), Amejiunga Na Klabu Ya RS Berkane Inayoshiriki Ligi Kuu Nchini Morocco Kwa Mkopo Hadi Mwisho Wa Msimu Huu Akitokea katika klabu Ya Olympique Khouribja inayoshiriki Ligi Kuu pia Nchini Humo.
Fiston msimu huu 2021/22 akiwa na Olympique Khouribja amefanikiwa kufunga goli moja tu kati ya Mechi 13 alizocheza.
Katika Historia yake (CARRIER), Amefanikiwa kukipiga katika Vilabu Takribani 12 Huku RS Berkane ikiwa ni ya 13 kwake.
Vilabu hivyo ni:-
1. LLB Academic
2. Rayon Sports FC
3. Diables Noirs
4. Sofapaka
5. Mamelodi Sundowns
6. Royal AM
7. Primeiro de Agosto
8. Al-Zawraa
9. JS Kabylie
10. ENPPI
11. Young Africans
12. Olympique Khouribja
13. RS Berkane
Post a Comment