NBC BANK WAINGIA MKATABA NA TFF KUDHAMINI LIGI KUU

Benki ya NBC na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) zimeingia mkataba wa miaka mitatu wa udhamini wa Ligi Kuu Tanzania Bara na kwa msimu huu wa 2021/22.

Benki hiyo itawekeza jumla ya TSH. 2.5 Bilioni kabla ya VAT.

Rais wa TFF Wallace Karia akichanganua mgawanyo wa fedha zilizowekezwa na Benki ya NBC Sh2.5 Bilioni) pamoja na matumizi yake kwa msimu wa 2021/2022.

Ikiwemo kulipa gharama za usafiri, utawala, katika vilabu vya timu za ligi kuu na mishahara.

No comments