KULFI LEO 06/10/2021
Leo ndio mwisho wa Tamthilia hii ya KULFI, Lakini licha ya kwamba imeisha bado BURUDANI Inazidi kuendelea USIONDOKE.
Tunawaletea Tamthilia moja inaitwa Soz ili kuweza kujua nini kitaendelea Tafadhali kaa karibu na Mitandao yetu ya kijamii (SOCIAL LINKS) Ili uwe kwanza kujua ratiba na nini kitaendelea baada ya hapa.
Ahsanteni Wote mliokuwa karibu kufuatilia Tamthilia hii kuanzia mwanzo mpaka hapa ilipofikia. BURUDANI INAENDELEA.!
Imeisha vizuri �� jamani hadi raha ����
ReplyDelete