Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili Uwanja wa Ndege wa Mwanza kwa ajili ya kushiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi zetu lililoandaliwa na na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) katika Viwanja vya Redcross - Magu, Mkoani Mwanza.
Post a Comment