#LIVE RAIS SAMIA AKISHIRIKI TAMASHA LA UTAMADUNI

Tumewaletea Matangazo ya moja kwa moja ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi zetu lililoandaliwa na na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) katika Viwanja vya Redcross - Magu, Mkoani Mwanza

No comments