VIDONDA VYA TUMBO, DALILI NA TIBA YAKE
Vidonda vya tumbo huathiri sehemu tatu mwilin yaani kwenye koo la chakula, kwenye utumbo mdogo na pia kwenye mfuko wa chakula (stomarchy) na usabaisha vyakula vya acid, unywaji wa pombe, uvutaji wa sigara, kutokua ratiba maalumu ya kula.
DALILI ZAKE
1. Maumivu makali ya tumbo hasa ukitumia vyakula vya uchachu.
2.Kuvimbiwa au tumbo kujaa gesi. Hali hii pia yaweza kuendana na kubeua au kujamba mara kwa mara.
4.Kichefuchefu na kutapika
5.Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
6.Kutapika damu
7.Kupata haja kubwa ya rangi nyeusi au kilicho changayika na damu kwa mbali
TIBA YAKE
kwakua vidonda vya tumbo usabishwa na uwingi
wa acid iliyopo tumboni ivyo tunapenda kuwaletea virutubisho lishe.
Viitwavyo ISOMALTO NA PROPOLIS Virutubisho hivi vitazuia production ya acid na kufanya vidonda vya tumbo kuwa historia
kwako.
Kwa oda na ushauri wa kuhu afya piga simu 0678446195
Post a Comment