RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA WAKURUGENZI WATENDAJI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu amewateua Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Jiji, Manispaa, Miji na Wilaya ambapo miongoni mwa walioteuliwa ni aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam kabla ya kuhamishiwa Kinondoni Spora Liana ambaye kwa sasa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, swipe kuona teuzi zote
Post a Comment