GWAJIMA; MATUKIO YANA LENGO KUIBUA MAMBO MBELENI

"Niwaambie Tu Kuna Watu Wapo Duniani Wanaishi Tu Hawajui Kuna Mambo yanafanyika, Kwenye Hii Dunia Kuna watu wanawaza Hii Dunia Tuipeleke Vipi Unapoona Matukio ya kidunia yanayotokea Usiwaze tu pale mwanzo ebu jaribu kuwaza Mbele Baada ya Kutokea je ni kipi kinafuata, Lengo la haya Matukio Huwa ni kuibua kitu"

"Niwape Mifano Ilipotokea Vita ya kwanza ya Dunia Yale mataifa Makubwa Walipigana Eeh Baadae Vita ilipoisha ikaja kuzaliwa UMOJA WA MATAIFA Wote mnajua kazi ya Umoja wa Mataifa Ni Nini kwa sasa"

"Lakini Baadae ikaja kutokea Vita ya Pili ya Dunia
Mataifa Makubwa Easten Frony na Western Front
yakapigana Eeeh kilichotokea Ikazaliwa Nchi ya
Israel na kuanzia hapo kumekuwa na Machafuko
Vita zisizoisha na kwa Yale Mataifa machanga
mengine huku Afrika yakawa Yana Machaguo kuna Wengine Wakachagua kumsapoti Mmarekani Mfano ndugu zetu wakenya na wengine walichagua Kumsapoti Mrusi Lakini Sisi Tanzania Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere aliamua kukaa katikati Akaanzisha Umoja wa Nchi zisizo fungamana na Upande Wowote"

"Sasa Hiyo ilitukosesha Vitu vingi Sana kutoaminiwa na Hizo Nchi Kwa sababu kila upande Tupo Tofauti na Wenzetu Mfano jirani zetu tu hapo wao walijikabidhi moja kwa moja kwa Mmarekani ndiomaana Wao ni Tofauti na sisi Tanzania ilikuwa ni Kama Bendera fuata upepo kila upande Tupo Ndiomaana Ilituchelewesha"

"Sasa Hiyo ilitukosesha vitu vingi Sana kutoaminiwa na Hizo Nchi Kwa sababu kila upande Tupo Tofauti na Wenzetu Mfano jirani zetu tu hapo wao walijikabidhi moja kwa moja kwa Mmarekani ndiomaana Wao ni Tofauti na sisi Tanzania ilikuwa ni Kama Bendera fuata upepo kila upande Tupo Ndiomaana Ilituchelewesha"

"Hizi Chanjo zimeletwa ili kuweza Kuimiliki Dunia
Najua wengi hamuwezi kunielewa Lakini baadae
Najua mtakuja kunielewa, Hizi Chanjo sio Matokeo yapo Mbele yanakuja na Kama Nchi Ikiwa ni ya kupelekwa pelekwa Baadae Ugonjwa huu ukiisha Tutajikuta Masikini na Madeni Chungu nzima na Hii Kila rasilimali zitakuwa zao" ASKOFU
GWAJIMA JANA KANISANI

No comments