MANARA; MKATABA WA MILIONI 3 UNANIFUNGA
"Baada ya kuanza mkataba na Azam ndo wakafikiria kunipa mimi mkataba, mkataba wa kwanza nikaitwa kwa Mo Dewji nikaukataa, ulinitaka niwe nalipwa milioni 3 lakini bila kufanya kazi na kampuni yoyote zaidi ya Mohamed interprises"
"Nakumbuka ilikuwa Ijumaa nimepiga kanzu nyeupe maridadi, nikawaambia hivi nyinyi mnanijua mnanisikia?"
"Yani mimi mkataba wa Milioni 3 na lazima nifanye na Mohamed Dewji?nimeajiliwa Mohamed Dewji, au nimeajiliwa na Simba SC?"---- HAJI MANARA
#BinagoUPDATES
Post a Comment